Msani Nasib Abdul ‘Diamond’ amechaguliwa kuwa mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye hafla ya utoaji tuzo za mwanasoka bora Afrika 2014.
Diamond atatumbuiza katika tuzo hizo ambazo wachezaji 25 nyota barani Afrika wamechaguliwa kugombea tuzo hizo. Hafla hiyo itafanyika Januari 8, 2015 jijini Lagosi Nigeria.
Mwanasoka Bora, Yaya Toure raia wa Ivory anayeitumikia Manchester City ya England ni kati ya watakaowania nafasi hiyo.
Wanaowania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika:
- Ahmed Musa (Nigeria, CSKA Moscow)
- Asamoah Gyan (Ghana, Al Ain)
- Dame N’doye (Senegal, Lokomotiv Moscow)
- Emmanuel Adebayor (Togo, Tottenham)
- Eric Maxim Choupo-Moting (Cameroon, Schalke 04)
- Fakhreddine Ben Youssef (Tunisia, CS Sfaxien)
- Ferdjani Sassi (Tunisia, CS Sfaxien)
- Yao Kouassi Gervais ‘Gervinho’ (Cote d’Ivoire, AS Roma)
- Islam Slimani (Algeria, Sporting Lisbon)
- Kwadwo Asamoah (Ghana, Juventus)
- Mehdi Benatia (Morocco, Bayern Munich)
- Mohamed El Neny (Egypt, Basel)
- Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon, Borussia Dortmund)
- Raïs M’Bolhi (Algeria, Philadelphia Union)
- Sadio Mané (Senegal, Southampton)
- Seydou Kieta (Mali, As Roma)
- Sofiane Feghouli (Algeria, Valencia)
- Stephane Mbia (Cameroon, Sevilla)
- Thulani Serero (South Africa, Ajax)
- Vincent Aboubakar (Cameroon, Porto)
- Vincent Enyeama (Nigeria, Lille)
- Wilfried Bony (Cote d’Ivoire, Swansea)
- Yacine Brahimi (Algeria, Porto)
- Yannick Bolasie (DR Congo, Crystal Palace)
- Yaya Toure (Cote d’Ivoire, Man City)
Wanaowania tuzo za Mwanasoka Bora Afrika( Kwa wachezaji wanaocheza Afrika)
- Amr Gamal (Egypt, Al Ahly)
- Abdelrahman Fetori (Libya, Ahly Benghazi)
- Bernard Parker (South Africa, Kaizer Chiefs)
- Bongani Ndulula (South Africa, Amazulu)
- Akram Djahnit (Algeria, ES Setif)
- Ejike Uzoenyi (Nigeria, Enugu Rangers)
- El Hedi Belamieri (Algeria, ES Setif)
- Fakhereddine Ben Youssef (Tunisia, CS Sfaxien)
- Ferdjani Sassi (Tunisia, CS Sfaxien)
- Firmin Mubel Ndombe (DR Congo, AS Vita)
- Geoffrey Massa (Uganda, Pretoria University)
- Jean Kasusula (DR Congo, TP Mazembe)
- Kader Bidimbou (Congo, AC Leopards)
- Lema Mabidi (DR Congo, As Vita)
- Mudathir Al Taieb (Sudan, Al Hilal)
- Roger Assalé (Cote d’Ivoire, Sewe Sport)
- Senzo Meyiwa (South Africa, Orlando Pirates)
- Solomon Asante (Ghana, TP Mazembe)
- Souleymane Moussa (Cameroon, Coton Sport)
Robben mchezaji bora wa nusu ya kwanza ya msimu
Mchezaji wa Bayern Munich Arjen Robben ametajwa kuwa mchezaji bora wa mzunguko wa kwanza wa msimu wa Bundesliga, katika kura iliyopigwa na wachezaji 240 wa Bundesliga.Robben alitawala kura hiyo, iliyoendeshwa na jarida la michezo la Kicker na kutangazwa leo Jumatatu, akipata asilimia 46.7, akiwatangulia mchezaji wa kati wa Wolfsburg Kevin de Bruyne pamoja na mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt Alexander Meier.
Katika uchaguzi mwingine Manuel Neuer wa Bayern Munich ametajwa kama mlinda mlango bora, Karim Bellarbi wa Leverkusen ameteuliwa kama mchezaji chipukizi bora , na Markus Weinzierl wa Augsburg amekuwa kocha bora wa mzunguko wa kwanza.
No comments:
Post a Comment